SEHEMU YA THERASINI NA MBILI
ILIPOISHIA SEHEMU YA THERASINI NA MOJA: Siku hii ya ijumaa ilikuwa ni sikunzuri kwa wapenda nao wawili yani Masoud na Salma, ambao licha ya kujuwa kuwa wanacho kifanya ni uthaliti kwa Sebastian, ukiachilia kwa upande wa Masoud yeye alisha kataa kuwa na mpenzi, na kwamba alisha achana nae, kwamadai kuwa alimsomesha na mwisho kumthaliti, ila nao ulikuwa ni uthaliri mkubwa sana, pengine kuliko ule wa Salma kwa Sebastian, ambao kama Seba angekuwa amezijuwa mapema tabia harisi za Salma, achilia kugusa kitumbua chake kwa mwiko wake, hakika asinge thubutu ata kumsogelea, au kumwajili. ….…. endelea….
Wapenda nao hawa wathaliti, ambao waliamka pamoja siku siku hiyo, wakiwa wamechelewa kidogo, maana waliamka saa mbili, kila mmoja alijiandaa, kama ilivyo kawaida yao, yani wakati Masoud akijindaa pale nyumbani kwake yani kwenye nyumba aliyo pangiwa na Salma, Salma mwenyewe alitoka na kwenda kujiandaa nyumbani kwake, pasipo kujuwa kuna mtu anawafwatilia na kuwapiga picha kila haua, waliondoka kwa pamoja kuelekea kazini, wakitumia gari la Salma, gari ambalo alinunuliwa na mchumba wake Sebastian, kwa mapenzi yake, akimpatia mwanamke huyo ili asiangaike kwenye daradara.
Mida hii ndio kwanza walikuwa ndani ya ofisi wana saidiana kfungua hesabu za week ili week end ambayo ingeanza siku hiyo jioni, waitumie kula raha, maana awakuwa na chochote cha kuofia ukichukulia kuwa, Sebastian alikua safarini, yani awakujuwa kuwa alisha rudi nchini, wawili awa wakuacha kufanyiana michezo ya kimahaba, wakati wakiendelea na kazi, wakati mwingine waloifikia hatua ya kupeana mate, sikia Seba itakuwa vizuri kama tukiena kunywa chai maana muda umeenda sana, alafu tukirudi tujaribu kufanyia ofisini, maana atujawai kufanya hivyo” alishauri Salma ambae akujuwa kama muda mfupi ujao kuna ugeni una wajia pale ofisi, “itakuwa tamu sana, twende zetu mgahawani basi” alisema Masoud ambae tayari dudu ilisha simama vibaya sana kwa matamanio.
Wakaweka vitu vyao vizuri pale ofisini kisha wakatoka na kuelekea mgahawani, huku wafanyakazi wenzao wakiwatazama kwa mach ya masimamngo na minong’oni, “dah! kweli watu awana aibu ata kidogo, yani demu analiwa na mfanya kazi wake, alafu ni mchumba wa tajiri” alinong’ona mmoja wao, “tatizo boss apigi stori na watu, angejuwa mapema tu, kuwa huyu demu ni kicheche, we ukumbuki alivyo kuwa anagongwa na wateja” alisema mwingine, wakati huo tayari yule jamaa mpiga picha alikuwa amesha weka simu sikioni kumpigia Doto, kumweleza kuwa mipango yao inaenda vizuri.*******
Mida hiyo hiyo ya saa nne za asubuhi, maeneo ya mbezi, mwisho, barabara kuu iendayo mikoni maarufu kama barabara ya Morogoro, lilionekana Mitsubish Fusso, likikaiza kwa kwemwendo wa taratibu kuelekea upande wa mjini, nyuma likiwa limesheheni, magunia mengi ya viazi, watu watatu waliokuwepo ndani ya gari ili, yani dereva, kondakta wake, na mwanadada Arianna, walionekana kuchoka kwa safari ya usiku kucha, “hapa ndiyo mbezi” alisema yule kondakta, akimweleza Anna, ambae, licha uchovu alionao, bado alionekana kuwa macho yenye udadisi na shahuku, ya kulitazama jiji la dar, jiji ambalo ndio kwanza anafika kwa mala yake ya kwanza.
“Hoo! kumbe ndio hapa, pana watu wengi” alisema Anna, kwa sauti iliyo changamka, “sasa hapa ndio ilibi upande gari, la kuelekea malamba mawili, mpaka kinyelezi, ila kwa kuwa ni mgeni, tutaenda wote soko la mambibo, tukisha shusha mzigo, huyu dereva anapeleka gari segerea mwisho, ata kupakiza magari ya kinyelezi” alisema yule Konda kita, huku safari inaendelea wakikatiza palembezi mwisho na kuelekea kibanda cha mkaa, “itakuwa vizuri, maana huko kwenyewe sikujuwi, alafu nasikia watu wanapoteaga” alisema Anna kwa sauti iliyochangamka.
Kama umesahau msomaji, ni kwamba, Anna alikuwa na furaha kubwa sana, furaha iliyosababishwa na mambo makuu mawili, moja ni kuona kuwa anaenda kukutana na mpenzi wake, ambae tayari amesha fanikisha malengo yake, na kutimiza ndoto zake, ndoto ambayo siyo Masoud peke yake ameitimiza ila ata yeye Anna na familia yake walikuwa wanaipigania sana.
Pili alifurahi kuona kuwa, matatizo yao yanaenda kuisha, sababu kwa mwonekano wa Maoud wa sasa, ni wazi alikuwa na maisha mazuri, na uwezo mkubwa wa kifedha, fedha ambayo itasaidia matibabu ya baba yake, na pia itamaliza shida ya yumbani kwao, na pia iyasaidia elimu ya wadogo zake, ambao wameteseka kwa muda mrefu sana, wakati fedha zikienda kwenye Elimu ya Masoud shemeji yao, “kwanza huyo unae mfwata ni nani wako?” aliuliza yule kondakta, “ni mchumba wangu, ni kuu wa kiwanda chaaaa…..cha… Kiguru Feniture” alijibu Anna, kwa sauti iliyochangamka.
Hapo nikama wale wawili, yani Dereva a Kondakta wake wakatazamana kwa macho ya mshangao, “mh! umanaanisha kile kiwanda kinacho tengeneza masofa na viti vya gharama?” safari hii aliuliza Dereva, kwa sauti yenye mshangao, “yani kile ambacho kina tangazwa sana kwenye television?” aliuliza Kondakta, huku anamgeukia Anna, na kumtazama, “kitakiwa icho icho, si kipo huko kinyelezi?” alijibu Anna kwa mtindo wa swali, “mh! una uhakika mume wako ndiyo boss pale?” aliuliza Dereva, kwa sauti yenye mshangao, ni wazi walishindwa kulinganisha, mwonekano wa huyu mwanamke aliepo mbele yao, na mausiano anayo yataja ya boss wa Kiguru Feniture.
Kilipita kimya kifupi, dereva na konda yani utingo, kama ilivyo hasiri yake, wakila mmoja akiwaza la kwake, juu ya Anna, wakati dereva anahisi kuwa Anna ameapeliwa, na mtu anaejiita boss wa Kiguru, huku kondakta, yani tingo, ana jiuiliza juu ya uzima wa Akili ya mwanamke huyu, “kaka nazani inafaa kama utamfikisha mpaka Kinyelezi, ndio uelekee home, anaweza kupotea huyu” alisema Kondakta, na Dereva tayari alisha ona kuwa swala ilo linafaa kutiliwa maanani, maana kama siyo mwanamke huyu ambae wamemchukuwa mafinga, anaenda kutapeliwa, basi anamapungufu ya hakiri.********
Naaam wakati huo mzee Kiguru, akiwa chumbani na mke wake, mala akapokea simu ambayo alikuwa anaisubiri kwa hamu kubwa sana, ni simu toka kwa Dereva wake, yani bwana Doto, “niambie Doto vipi tayari?” aliuliza bwana Kiguru, kwa sauti ya chini, iliyo jaa shahuku ya hali ya juu, “tayari dogo amesema wanaenda mgahawani, ili wakanywe chai, wakirudi wamefanye uchafu wao ofisini” alisikika Doto upande wapili wasimu, “weeee! wamefikia huko” aliuliza Kiguru, kwa sauti ya chini yenye mshangao, huku anainuka na kutaka kuelekea sebuleni, ni kama vile akutaka mke wake asikie…. endelea….
SEHEMU YA THERASINI NA TATU
ILIPOISHIA SEHEMU YA THERASINI NA MBILI: Naaam wakati huo mzee Kiguru, akiwa chumbani na mke wake, mala akapokea simu ambayo alikuwa anaisubiri kwa hamu kubwa sana, ni simu toka kwa Dereva wake, yani bwana Doto, “niambie Doto vipi tayari?” aliuliza bwana Kiguru, kwa sauti ya chini, iliyo jaa shahuku ya hali ya juu, “tayari dogo amesema wanaenda mgahawani, ili wakanywe chai, wakirudi wamefanye uchafu wao ofisini” alisikika Doto upande wapili wasimu, “weeee! wamefikia huko” aliuliza Kiguru, kwa sauti ya chini yenye mshangao, huku anainuka na kutaka kuelekea sebuleni, ni kama vile akutaka mke wake asikie…. endelea….
Wala kuelewa maongezi yake na Doto, lakini ke wake akamdaka mkono na kumruisha kitandani, alipokuwa amekaa mwanzo, huku na yeye akitega sikio kwa umakini, “ni aibu boss imenishangaza sana, naweza kukutumia ata video aliyo irecord yule dogo sasa hivi” alisema Doto, akionyesha kuuzunishwa na kilicho kuwa kinaendelea, “ok! sasa mimi namwambia aje, mwambie dogo ampokee na kumweleza cha kufanya, na wewe uje kunifwata ili nikashuhudie kinachotokea” alisema Kiguru, huku anainuka tena na kutoka nje, huku akifwatiwa na mke wake.
Naam mzee Kiguru, alimweleza kijana wake Sebastian, kuwa muda wa tukio la mduwazo umesha wadia, hivyo moja kwa moja, aelekee kiwandani kule kinyelezi, pasipo kumweleza mchumba wake kitu chochote, nae kwa kuwa tayari alisha jiandaa, akaingia ndani ya gari, aina ya Toyota Wish, na kusafari ya kuelekea kiwandani kwake Kinyerezi ikaanza, huku moyoni mwake, licha ya kujiuliza kile anachoena kushtukizwa, pia alikua na hamu kubwa ya kumwona mchumba wake Salma, ambae alikuwa na muda mrefu ajamwona.*******
Yap! huko kijijini Malangari, mambo yalikuwa moto moto, baadhi ya wanakijiji wakilahani kitendo cha mzee Kizinge, kushindwa kujiusisha kwa namna yoyote juu ya kuugua kwa mkwe mwenzie, yani bwana Sinyangwe, “yani inasikitisha sana, unajuwa wamamanyia mambo makubwa sana, kijana wao” alisema mmoja kati ya wanakijiji, alie onyesha kuumizwa na kitendo cha bwana Kizinge, alafu mbaya zaidi nasikia dogo, yupo dar anamaisha mazuri sana, yani sasa hivi ni boss” alimwingine, ambae pia alionyesha kuumizwa na matendo ya Kizinge na mke wake.
Ukweli ni kwamba akuna mtu pale kijijini, ambae akufahamu jinsi Arianna, na wazazi wake walivyo tumia muda wao na nguvu zao, kutafuta fedha za kumsomesha Masoud, mtoto wa bwana Kizinge, hivyo basi kila kilichoendelea wao pia walikuwa wanakifwatilia kwa ukaribu sana.
Licha ya habari na manung’uniko kusambaa sana pale kijijini, lakini aikusaidia lolote katika rekebisha fikra na akili ya bwana Kizinge na mke wake, ndio kwanza walijiona kuwa wanasababu ya kufanya hivyo, “hivi mama Masu, unawasikia hao wajinga huko, yani wanaongea vitu vya kijinga sana” alisema mzee Kizinge, ambae sasa alikuwa analiandaa terekta lake, kwaajili ya kwenda kubeba viazi mashambani na kupeleka nyororo, ambako vinge pakizwa kwenye magari makubwa yanaypeleka dar es salaam na mikoa mingine, “nawashangaa, sasa wao walitakaje, yani sisi tuangaike na mgonjwa kisa binti yake alikuwa awala wa mwanangu?” aliuliza mama Msoud, huku anaingia ndani, upande wa jikoni, ambako anakutana na vymbo vingi vichafu, vya toka juzi, “labda wana zania kuwa bado Masoud yupo na huyo mschana” alisema mzee Kizinge, akimaliza kwa kicheko kikubwa sana.
Mama Masoud aliekuwa ndani, akucheka wala kuoaneno lolote, maana alikuwa anavitazama vile vyombo ambavyo sasa vilikuwa vinatoa arufu mbaya, kutokana na uozo wa mabaki ya chakula, “huyu nae kwanini ameenda huko mafinga, kwani mama yake atoshi kukaa na mgonjwa” aliwaza mama Masoud, kwa kujilalamisha huku anachagua vyombo vichache na kutoka navyo nje, kwaajili ya kuviosha vimsaidie kwamaandalizi ya chakula cha mchana.
“yani siku Masoud akija na gari lake, sijuwi watasemaje” alisema mzee kizinge, kwa sauti yenye sanifu, na tamaa ya kuona hiyo siku, “ata wakiandamana, lakini itabakia kuwa vile vile tu, Masud awezi kumwona Ariana na vile vyo chakaa, mwanamke anashindwa kujitunza kabisa, yani miguu imepauka utazania mihogo iliyotolewa shambani” alisema mama Masoid na kuachia kicheko, ambacho kilisaidiwa na mzee Kizinge, “sijuwi wao wangekubari, yani mtu amesoma mpaka chuo kikuu, alafu aje amuoe mwanamke asie nambele wala nyuma” alisema mzee Kizinge, huku anapanda kwenye trekta kwaajili ya kuliwasha, “alafu sasa walivyo masikini, akiuoa Anna Masoud, si atawajibika kwa familia nzima?” alisema mama Masoud wakacheka tena, huku mzee Kizinge anajaribu kuwasha trekta lake, ambalo lilikataa kuwaka, “watamfanya yeye lile dude la ukutani la kutolea ela” alisema mzee Kizinge huku anacheka tena, akisaidiwa na mke wake, aliekuwa anaelekea jiko la nje, na vyombo yake mkononi, wakati huo anajaribu kuwasha tena, mambo yakawa ni yale yale, kwamba trekta alikuwaka.
Mzee Kizinge hapo akashtuka kidogo, nakuhisi kuwa, likuwa na tatizo katika mfumo wa mafuta, akashuka na kutafuta kijiti kirefu, akatumbukiza kwenye tank la mafuta, alipotazama akaona kuwa mafuta yalikuwepo aka enda kwenye engine na kuchomoa mrija unao letamafuta kwenye nozel, akauona kuwa ni mavu kabisaaa, akuwa na dalili ya kwamba unaleta mafuta kwenye, “hoooo jamani nini tena hiki” alijisemea mzee Kizinge, huku anashika kichwa cheke kwa msikitiko, mbona unataka kunikosesha fedha wewe” alilalamika Kizinge, mbele ya trekta lake, ungesema anaongea na mtu, kisha akatoa simu kwaajili ya kumpigia fundi, aje alitazame trekta.*******
Naam, nusu saa iliumika kushusha magunia ya viazi yaliyo kuwa yamejaa kwenye Fusso, wakati huo tayari Ariana, alikuwa amesha nunua vcha ya elfu moja, na kuiweka kwenye simu yake, kisha akampigia mzee Mdemu, akiongea na mama yake, kumjulisha kuwa tayari yupo dar es salaam, “we Anna angalia usipotee, ukimkosa urudi nyumbani, tuangaike huku huku kutafuta ela” alisema mama Anna, ambae ata sisi tuna fahamu kuwa, akuwa na imani, kwamba Anna atapata mafanikio yoyote kule alikoenda, maana tayari alisha ambiwa kuwa Masoud na wazazi wake awakuwa wanautambua uhusiano wao, “wala usijari mama, nikikutana na Masoud natuma ela kwanza, alafu mimi nalala huku, narudi kesho, alisema Anna ambae alikuwa anawaza mambo mawili tu, yote yakiwa katika mafanikio, jambo la kwanza ni pata fedha za kumtibia baba yake, jambo la pili, ni kulala na mwanaume wa maisha yake, mwanaume ambae kwa sasa mwonekano wake, ni sawa na wanaume wa kwenye video, za nyimbo za bongo fleva. …. endelea….
SEHEMU YA THERATHINI NA NNE
ILIPOISHIA SEHEMU YA THERATHINI NA TATU: “wala usijari mama, nikikutana na Masoud natuma ela kwanza, alafu mimi nalala huku, narudi kesho, alisema Anna ambae alikuwa anawaza mambo mawili tu, yote yakiwa katika mafanikio, jambo la kwanza ni pata fedha za kumtibia baba yake, jambo la pili, ni kulala na mwanaume wa maisha yake, mwanaume ambae kwa sasa mwonekano wake, ni sawa na wanaume wa kwenye video, za nyimbo za bongo fleva. …. endelea….
Aliwaza atakavyo kasha usiku kucha akifaidi dudu, atakapokuwa anatazama video ambayo ni sawa anaimili yeye mwenyewe, maana alimini imenunuliwa na mpenzi wake, hakika alikuwa na sababu zakeza kuwa na ushangamfu, siku hii ya ijumaa, uchangamfu ambao aukumfanya ajihisi njaa, yani akuwaza wala kufikilia kuwa, mwonekano wake wa sasa, aukuwa wakuvutia, wala kutamanisha, hii yote ilikuwa ni kukosa kujitunza vyema, na kuboresha ngozi yake na thamani ya mavazi yake.
Dakika chache baadae, waliingia kwenye gari, na kuanza dafari ya kuelekea tabata, ambapo walipoiacha barabara ya morogoro, na kuingia ya Mandera, ile iendayo uwanja wataifa unaotumika kwaajili mpira wa miguu, na maazimisho mbali mbali, ya kitaifa na yakimataifa.
Safari ilikuwa ya watu wawili, yani Anna na Dereva, safari ambayo ilitawaliwa maongezi ya maswali na maelekezo, “hapa bado tupo ubungo?” aliuliza Anna, “ubungo tumeshapita, sasa tumeingia tabata” alijibu Dereva, ambae alionyesha wazi kuwa mwenye uchovu wa hali ya juu kutokana na kukesha anaendesha gari, “sasa mbona sioni mashamba, wanalima wapi?” aliuliza Anna, likiwa moja ya swali kati ya yale ambayo yalimfanya dereva acheke, “mashamba yapo shamba, siumeona tumetoa viazi kule kwenu, huku mjini awalimi” alijibu Dereva wakati anapunguza mwendo kwenye njia panda ya tabata bima, kisha kusimama wakitazama taa nyekundu zilizo wazuwia.
Walisimama kwa sekunde tisa, mpaka walipo luhusiwa, nao wakaendelea na safari, sambamba na maongezi yao, ambayo yalikoma, mala tu walipofika kinyerezi mwisho, “fwata njia hiyo hapo, na hapo mbele utakuta maduka, uliza kilipo kiwanda cha Kiguru, watakuonyesha” alisema Dereva wakati, alipomshusha Anna pale kinyerezo mwisho, “sawa kaka, asante sana” alisema Anna, na kugeuka kisha kuanza kutembea kuifwata barabara afifu aliyo onyeshwa na Dereva, na wakati akiwa anatebea taratibu, na simu yake mkononi, tabasamu usoni, akapitwa na garo dogo aina ya Toyota wish, lililokuwa linatembea taratibu kuelekea kule anakoelekea yeye, “sijuwi na yeye anagari kama ili?” alijiuliza Anna, ambae alivuta picha jinsi atakavyo kaa pembeni ya seat ya dereva akimshuhuia mpenzi wake, akiwa anaendesha gari.
Naaam Anna akiwa analitazama lile gari ambalo ata kabla alija toweka machoni pake, ana liona lile gari, lina fika usawa wamaduka aliyoelekezwa na dereva wa Fusso, na kusimama usawa wa ule ule wa yale maduka, alafu anamwona kijana mmoja analisogelea lile gari, kijana anaokena anasalimiana na Dereva, ata yeye anapolifikia lile gari anawasikia wanasalimiana, “naona umerudi bro” alisema yule kijana, akimweleza dereva wagari, aliekuwa ameshusha kioo cha gari cha upande wake, “nimeridi bwana, sema naona mmeniandalia masurprise ya kutosha” alisema Dereva huku anacheka kidogo.
Huyu ndie Sebastian Kiguru, ambae aliahizwa aje hapa kukutana na kijana huyu, tayari kwa kuanza kwa tuki la mduwazo, ambalo yeye alihisi kuwa litakuwa la furahisha, daima baba yake akumwandalia maumivu, ni Sebastian ndie alie mpita mschana mmoja, mwembamba, mrefu kidogo, mitachache nyuma, mschana ambae alipomwona tu, atamoyo wake ulikubari kuwa kamamschana hiyu akizingausafi na kujipenda, basi uzuri wake ungekuwa ni tatizo jipya kwa wanaume wenye afya njema ya mapenzi.
“aya nipe maelekezo, maana nimeambiwa wewe ndie utanieleza kila kitu” alisema Sebastian na kabla yule kijana ajajibu wakasikia sauti toka kwa mpita njia, “shikamoni” ilikuwa sauti ya kike, iliyojaa nidhamu, wote wakageuka na kumtazama, alikuwa ni yule mwanamke ambae Sebastian alimpita hapo nyuma, alie onekana kuwa licha ya kusalimia pia alikuwa na dalili ya kuuliza au kuomba kitu kwao, “mambo vipi dada” aliitikia Sebastian, huku anamtazama vizuri huyu mwanamke, ambae ndie Anna, mtoto wa mzee Sinyangwe.
Hakika ni mwanamke ambae, alionekana wazi kuwa akuwa mkazi wa jiji la dar, yani “safi tu, samahani wakina kaka, naulizia kiwanda cha Kiguru” alisema Anna, kwa sauti iliyo jaa nidhamu, ya hali ya juu, kiasi cha kumsisimua kijana Sebastian, ambae licha ya kuwa na utajiri mkubwa, lakini akuwai nidhamishwa kiasi kile, lakini pia kuna kitu kilivuta mala baada ya kusikia anaulizia kiwanda cha Kiguru, “kuna mtu unaenda kumtazama hapo?” aliuliza yule kijana, swali ambalo ata Sabastian alitamani sana kusikia jibu lake, “naenda kumwona mume wangu” alisema yule mschana ambae kiukweli niuongeaji wake safari hii, uliambatana na tabasamu, abasamu ambalo, lilionyesha kile kilicho kificha surani mwake, yani uzuri wa hasiri wa mschana huyu.
“mumeo anafanya kazi pale au mteja?” aliuliza Sebastian, ambae siyo tu kuvutiwa na nidhamu ya Anna, pia aliguswa na mwonekano wa kifukara wa mwanamke huyo, ambae alionekana wazi kukosa matunzo toka kwa mwanameume anae mwita mume wake, ambae kimoyo moyo alipanga akamweleze umuhimu wa kumpendesha mke, “anaitwa Masoud, yeye anafanya kazi pale kiwandani” alisema Anna, ambae licha ya mwonekano wa kifukara, lakini alionekana kuwa na tabasamu la furaha muda wote.
Hapo yule kijana ambae alilijuwa jina la Masoud, akatulia kimya akitafakari, kama hii hipo ndani ya mpango wa mzee Kiguru, au ni kweli huyu mwanamke, ni mchumba wa kijana Masoud, amba anatembea na Salma, mchumba wa mmiliki wa kiwanda, wakati huo Sebastian alikuwa anajaribu kuvuta kumbu kumbu ya mfanyakazi huyo, “hoooo! anaweza kuwa mgeni pale, maana nimuda mrefu sija….” kabla Seba ajamaliza kuongea tayari Ariana alisha dakia, “nikweli yeye mgeni pale, amemaliza chuo, na kuchaguliwa kuwa boss pale kiwandani” alisema Anna, kwasauti yenye kujinasib, kwamba ni mke wa boss wa kiwanda cha Kiguru.
Ana akujuwa kuwa alisha badiri mtazamo wa kijana Sebastian, na kumwona Anna kama alie pungukiwa na Akili, “hoooo kweli na mfahamu, tena nimemwona sasa hivi anaingia ndani, nenda utamkuta, kiwanda nikile paleeeee” alisema yule kijana ambae mpaka hapo alisha ona kuwa Seba ametoa macho ya mshangao kwa mwanamke huyo, huku akimwonyesha sehemu kiwanda kilipo, huku seba na yule kijana wakimsindiza kwa macho. …. endelea..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Write your comment