Kalibu storyline hapa utaweza kusoma hadithi kutoka kwa waandishi mbalimbali bure bila malipo yoyote. Alika marafiki zako tufurahi kwa pamoja

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Jumamosi, 8 Machi 2025

Ukimaliza Funika 36_37


 


SEHEMU YA THERASINI NA SITA


ILIPOISHIA SEHEMU YA THERASINI NA TANO: bahati njema mwiko unaenda bila kikwazo, ndani ya kitumbua, sehemu ambayo nikama Masoud, anaonekana ajalizika na uingiaji au sehemu aliyoingiza, hivyo akaitoa na kuiweka vizuri, kisha akatunga tena uzi kwenye sindano, nao ukaingia vyema kabisa, bila kukwama kwama, hakika ni ajabu sana, ilimshangaza Sebastian, ambae akujuwa kama mchumba wake anatumia line zote mbili, wakati yeye akuluhusu ata kidole cha mkono wake kiguse sehemu ile ata kwa bahati mbaya. …. endelea…


Leo aliweza kumwona kijana, ambae anamfahamu kama mfanyakazi wa hapa Kiwandani, akianza kupump nje ndani, yani ingia toka, kandamiza chomoa, huku ameshikilia kiuno cha Salma ambae ni mchumba wake, alimwamini kabisa, na kuamini kuwa ni mmja kati ya wanawake wachache wenye kujiheshimu, ambae sasa mbele yake alikuwa anazungusha kiuno, akinyesha kufurahishwa na kupendezewa na kitendo kile, cha kuingiliwa kinyume na maumbile yalivyo.


Hapo Sebastia, aliekuwa dirishani alitamani kuanguka na kuzimia, ili akizinduka ajikute hospital, ilimradi tu, asiendelee kutazama tukio lile, lakini akuwa hali ya kuzimia, Seba alie mwamini sana, Salma na kuamini kuwa  ni schana mwenye kujiheshimu na mwaminifu, ali tamani ghafla aamke na kujikuta yupo kitandani, kwamba alikuwa anaota, lakini aalipojaribu kufikicha macho yake, alijikuta bado yupo pale pale dirishani.


Sebastian alikosa nguvu na ujasiri, wa kuendelea kutazama tukio lile ambalo alifananisha na filamu ya kutisha, maana alihisi moyo wake unachomwa na kitu chenye ncha kali, kama vile kisu cha captain Chui mchafu, huyu ni Salma wangu au ni mwanamke anae fanana nae, alijiuliza Sebastian, ambae sasa machozi yalianza kuziba macho yake, hapo Seba akana nivyema kama ataondoka kimya kimya pale dirishani, na kurudi nyumbani akajipange upya, na kuwaza namna ya kuchukuwa maamuzi.


Lakini wakati anageuka, akasikia mlango wa ofisi, ukifunguliwa, “Masoud nime kujaaaaaa” ilikuwa ni saui ya kike, iliyotoa ukelele wa furaha, Sebastian akageuka na kuchungulia tena dirishani, kumtazama yule mfunguaji wa mlango.


Naam alikuwa ni yule mwanamke, alie kutana nae muda mfupi uliopita, ambae sasa alioneka kuwa ametoa macho ya mshangao, na mshtuko mkubwa, akiwa tazama wakina Salma, ambao walikuwa wanakurupuka na kuachia kwa ghafla, huku mwiko wa Masoud, itoke kwenye kinu cha kisamvu, alicho kuwa anakitwanga, huku baadhi ya mboga hizo za majani zikiwa zimenasia kwenye mwichi wake, “Anna, ume… umefikaje hapa….?” aliuliza Masou kwa sauti ya mshangao, huku wote wawili, wakijiweka sawa, “Masoud mume wangu, yani mimi nakusubiri kule kijijini, wewe unafanya hivi” alisema Anna kwa sauti iliyojaa uchungu mkubwa, na kukaribia kulia, “Masoud, huyu ni nani, na kanini amevamia ofisi yangu” aliuliza Salma huku anamtazama Anna, kwa macho makali, ni baada ya kuona kuwa mwanamke huyu mwenye mavazi chakavu, alie wakatiza starehe yao, alikuja peke yake.


Naam kabla ata Masoud ajajibu swali la Salma, tayari Anna akajibu mwenyewe, “mimi ni mchumba  wa Masoud, tena toka utotoni” alisema Anna kwa sauti ya juu yenye ukali, huku machozi yakianza kushuka kwenye mashavu yake” Salma akamtazama Masoud, ambae alikuwa anamtazama Anna kwa macho yenye hasira kali, “umefwata nini huku Anna, mimi na wewe si tulisha achana?” aliuliza Masoud kwa sauti ya ukali, lakini Anna, ambae kama vile akuisikia kauli ya Masoud, alikuwa ametulia anatazama mazingira ya mle ofisini, kama vile anaikagua, na mwisho akaiona chupi ya Salma, “najuwa umefanya hivi sababu ulibanwa, na mimi nilikuwa mbali, hivyo nimekusamehe Masoud” alisema Anna, kwa sauti ya upole, ambayo ilikuwa katika hali ya uchungu pia, “eti umemsamehe? we nani mpaka usema hivyo?” aliuliza Salma kwa sauti kali yenye mshangao, “ndiyo nimesha msamehe, sasa wewe ulitaka tuachane?, sasa naomba uchukuwe hiyo chupi yako, na utoke ofisini kwa mume wangu” alisema Anna kwa sauti yenye hasira, akiamini kuwa mume wake ndie boss wa kiwanda kile.


Hakika hapo kilicho mtokea Anna, ata yeye mwenyewe akuelewa ilianzaje, maana alishtuka tayari Salma amesha mfikia na kumzabua kofi moja kubwa la usoni, “ebu toka na kichaa chako mwe mwanamke, unahadhi gani ya kuwa na mwanaume kama huyu, au unamwona anapendeza ndiyo unamtamani, wenzio tumeingi gharama we kichaa, ebu toka” Anna aliachia ukelele mkubwa wa maumivu, huku akishika usoni, “Anna nime kuambia toka bwana, si tulisha achana siku nyingi, unanitafutia nini we mwanamke” alisema  Masoud kwa sauti kali yenye hasira, huku anamsukuma Anna ambae alienda kujibamiza kwenye meza, na kuanguka chini……. 



SEHEMU YA THERASINI NA SABA


ILIPOISHIA SEHEMU YA THERASINI NA SITA: “ebu toka na kichaa chako mwe mwanamke, unahadhi gani ya kuwa na mwanaume kama huyu, au unamwona anapendeza ndiyo unamtamani, wenzio tumeingi gharama we kichaa, ebu toka” Anna aliachia ukelele mkubwa wa maumivu, huku akishika usoni, “Anna nime kuambia toka bwana, si tulisha achana siku nyingi, unanitafutia nini we mwanamke” alisema  Masoud kwa sauti kali yenye hasira, huku anamsukuma Anna ambae alienda kujibamiza kwenye meza, na kuanguka chini……. endelea….


Hapo Masoud ambae akutaka kujuwa Anna ameika pale, na amefwata nini, akamtazama Salma, “Salma huyu ndie yule mwaamke nilie kusimulia habari zake” alisema Masoud, “Masoud jamani nimekukosea nini, uwezi kuniuliza nimekuja huku kwaajili gani” alisea Anna kwa sauti yenye uchungu mkubwa, iliyotia huruma ata Sebastian pale dirishani.


Lakini siyo kwa Salma au Masoud, ambao awakunyesha ata dalili ya huruma kwa mwanamke huyu, maana asoud alimwongeza teke la ubavuni Anna, ambae bado alikuwa chini, “toka bwana, nani kakuambia nifwate, siuliniona sifai, sasa nini kimekuleta kwangu” alisema Masoud huku anamwongezea teke jingine, na kumfanya Anna ainuke haraka, kwa kuofia kuongezewa kipigo zaidi, “Masoud, tuliachana lini Masoud, mbona unanifanyia hivi, nimekukosea nini Masoud?” aliuliza Anna ka sauti ambayo sasa alikuwa inaambatana na kilio cha wazi kabisa, “unajiliza liza hapa, zanisijuwi habari zako, wewe siulijiona mjanja, sasa nini kimekuleta, wenzako tuonajuwa maana ya mapenzi, tumesha mchukuwa” alisema Salma huku anashika sikio la Anna kulivuta kumtoa nje ya ofisi, Masoud akiwasindikiza kwa nyuma, huku Anna akiangua kilio.


Nikama Sebastian alipata picha flani, picha ambayo ilikuja nusu nusu, kwamba huyu mwanamke alieitwa Anna, allikuwa mpenzi wa Masoud, sasa je alimsariti wakaachana, au alimwacha kijini, na kuja kumsaliti, ukweli Sebastian akupata jibu, hivyo akaamua na yeye kujionoa pale dirishani kabla ajaonwa na watu wengine, Sebastian huyoo, akarudi pale madukani, alipoliacha gari lake, na kukuta yule kijana, alie mwachia gari.*****


Ana akuamini kinacho mtokea siku ile, ikiwa ni siku ambayo amemwona Msoud akiwa amependeza kweli kweli, masud,yupo katika mwonekano ambao, mwanaume yoyote angependa kuwa, mwonekano ambao wanawake wengi wangependa kuwa nae, “nenda zako chizi wewe” alisema Salma mala baada ya kumfikisha Anna mje huku amasukuma na kwenda kuangukia nje kabisa ya mlango wa kuingilia kiwandani, huku wafanyakazi wengine na Masoud mwenyewe wakimtazama Anna.


Salma akamtazama mlinzi wa pale mlangoni, “wewe unaipenda kazi yako kweli, unamwachaje kichaa anaingia humu ndani?” aliuliza Salma kwa sauti ya ukali, “samahani mama, alisema ni ndugu, yani mke wa Masoud, ametokea Iringa, kuja kumpa taarifa ya mgonjwa” alisema kwa sauti yenye offu ya kupoteza kazi, “yani ata kwa maakili zako umeshindwa kutambua kuwa yule mwanamke ni kichaa, je angezuri humu ndani, au angesababisha asara” alisema Salma kwa sauti yenye hasira, “samahani mama aito rudia tena” alisema yule mlinzi mtu mzima kwa sauti ya kuomboleza, “aya mwondoe huyo mwanamke haraka” alisema Salma huku yeye na Masoud wanarudi ofisini, sijuwi walikuwa wanaenda kumaliza walichokuwa wamekianza, au watakuwa wanajadiri kilicho tokea.


Akiwa haamini kilicho mtokea, Ariana alikumbuka wasi wasi wa mama yake, juu ya mausiano yake na Masoud, “aya dada inuka tuondoke, umesha taka kuniletea matatizo” alisema yule mlinzi, huku anamshika mkono Anna aliekuwa bado yupo chini, “niache tu baba yangu, mimi naondoka, wala sina nilicho bakiza” alisema Anna kwa sauti ya kinyonge kweli kweli, kila mmoja alimwonea huruma.


Walimwona Anna akiinuka na kuanza kuondoka taratibu, huku kichwani mwake mwanamke huyo, akiwaza mambo mengi sana, kwanza kuugua kwa baba yake pili juu yakile alicho shuhudia kule ofisini, kikifanywa na mwanaume ambae siyo tu kumpenda toka moyoni, ila pia alijitoa kwa moyo wake wote, kuhakikisha anatimiza ndoto zake, Anna akuwaa atasafiri vipi kufika mafinga, maana alikuwa amebakiwa na fedha isiyozidi elfu tano, na mia mbili.*******


“kaka kwanini msingeniambia kuwa Salma ananisariti, kuliko kunifanya nije nitazame uchafu wake” aliuliza Sebatian akiwa katika hali ya unyonge mkubwa sana, mala baada ya kuingia ndani yagari lake, akiwa amekaa seat ya abiria, na yule kijana amekaa sea ya dereva, “kaka ilikuwa lazima ifanyike hivi, maana baba yako alisema ukiambiwa kwa mdomo usinge amini” alisema yule kijana, wakati huo wanamwona, Anna anakuja upande wao, huku anaachia kilio cha chini chini, “kiukweli wanawake ni watu wa ajabu sana, yani mambo yote niliyo mfanyia, bado akanisariti, na mbaya zaidi anafanywa mapenzi kinyume na maumbile” alisema Sebastian, kwa sauti ile yenye machungu ya kusalitiwa, wakati huo tayari Anna alisha wakaribia, “hivi unavyomwona huyu mwanamke, ni mzima kweli” aliuliza Sebastian akiwa anamtazama Anna alikuwa anazidi kusogea upande wao, “yupo fresh kabisa, yule mwanamke, ena nimekumbuka, huyu ndie alie mpigia jana simu, pale mgahawani, na Masoud akamzimia simu” alijibu yule kijana, na wakati huo tayari Anna alikuwa amesha fikia usawa wao. ……. endelea…. 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Write your comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Menu